What is Nostr?
Bitcoin safari community / Bitcoin safari Tanzania
npub1t8c…sqc6
2025-02-04 04:04:45

Bitcoin safari community on Nostr: Wageni wetu wakipokea maelekezo muhimu kutoka kwa Muongoza Watalii wakati wa safari ...

Wageni wetu wakipokea maelekezo muhimu kutoka kwa Muongoza Watalii wakati wa safari yetu ya kutembelea Materuni Waterfall! Tukiwa na Bitcoin Tanzania Safaris, tunahakikisha kila safari ni ya kujifunza, kufurahia, na kugundua uzuri wa asili wa Tanzania.

#BitcoinTanzaniaSafaris #MateruniWaterfalls #SafariYaElimuNaBurudani #ExploreTanzania #WondersOfNature #AdventureUnforgettable


Author Public Key
npub1t8cxvze5m4y0nhavtktnkamhff667pt75w3xzg22chxue4wjg3qqufsqc6